Announcements

Karibu utufahamu

Posted at 2025-01-07 10:17:18

Hatuchoki kujifunza

Posted at 2025-01-07 10:20:22

BSDF inatoa fursa kwa vijana ya kujifunza kivitendo na Best construction & interior design huku wakjipatia kipato wakiwa masomoni.

Hali ya utegemezi kwa wazazi kwa kila kijana mwenye umri zaidi ya miaka 18 ni utumwa wa kifikra na ni ugaidi kwa uchumi. Ewe mzazi mlete mwanao akomboke kifikra.

English 

BSDF provides an opportunity for young people to learn practically with Best construction & interior design and earning an income while studying.The state of dependence on parents for youth over the age of 18 is mental slavery and a terror to the economy. I recommend parent to bring their youth to be liberated intellectually.


 Call us for more information

Tupigie simu kwa maelezo zaidi

BENSON MONGI, All right reserved 2024.
Designed By Victor Kisuma